Usiache tatizo la kukosa choo liendelee na kusababisha bawasiri.

Stage 6 itakusaidia kupata choo mara 2 kwa siku na kujisikia mwepesi!

Lipia kabla au baada ya kufikishiwa bidhaa yako. Uamuzi ni wako!

Niliteseka na constipation kwa muda mrefu.

“Nilijaribu dawa nyingi, lakini hakuna iliyokuwa na ufanisi kama Stage 6. Kwa siku chache tu, nilianza kupata choo mara tatu kwa siku. – Jessica M.

Usiteseke tena na tatizo la kukosa choo!

Hebu niambie, mara ngapi umejipata na tatizo la kukosa choo? Ule msongamano wa ajabu tumboni, hisia ya uvimbe, na maumivu ya ajabu? 😣 Tunajua kabisa jinsi hii hali inavyoweza kukuvuruga maisha yako. Lakini subiri… una bahati!

Tunakuletea Stage 6 – tiba asilia yenye nguvu inayosaidia kuondoa tatizo la kuvimbiwa muda wote, na hata kukosa choo bila kuteseka na maumivu au kuhisi kama unavurugwa. Ni dawa kiboko inayotokana na mimea asilia, kwa hiyo huna haja ya kuhofu madhara ya kemikali za hatari!

Hizi ni baadhi ya shuhuda kutoka kwa watu waliosaidika na Stage 6

Stage 6 ni suluhisho asilia linalokupa matokeo ndani ya muda mfupi!

Kutoenda choo si jambo la kupuuzia. Hii hali inakuja na maumivu, hisia mbaya, tumbo kujaa gesi, na hata kuharibu mood yako ya kila siku. Tumbo likibaki na mrundikano wa uchafu, lianapelekea mwili wako unajaa sumu ambazo zinakufanya uhisi kuchoka, na afya yako inazidi kudhoofika.

Kwa hiyo, kama umekuwa ukiteseka na tatizo hili, jua kwamba Stage 6 ni suluhisho lako. Stage 6 ni laxative ya asili na yenye vilainishi inayosaidia mfumo wako wa mmengenyo kuendelea kufanya kazi kwa usahihi, bila maumivu au utegemezi ambao mara nyingi hutokana na dawa za kemikali kali.

Imetengenezwa kwa mchanganyiko wa mitishamba maarufu kama Senna Leaf, Prune Powder, Buckthorn Bark, na Liquorice, Stage 6 inasaidia kusukuma taka nje ya mwili wako, huku ikileta utulivu kwenye njia ya mmengenyo ili usikumbane na maumivu makali.

Haina kemikali kali. Haina madhara. Ni nafuu ya asili, salama, na yenye ufanisi.

Hauko peke yako...!

Tatizo la kukosha choo ni kubwa sana nchini Tanzania. Inakadiriwa kuwa Watanzania milioni 6.4 wanasumbuliwa na tatizo hili. Hii ina maana kwamba karibu kila mtu mzima kati ya wawili wenye umri wa miaka 30 au zaidi amewahi kukabiliwa na tatizo hili. Jesca, akiwa miongoni mwao…

Bi. Jesca alikuwa akisumbuliwa na kukosa choo. Sasa anapata choo mara 2 kwa siku baada ya kutumia Stage 6

Nilikuwa napitia kipindi kigumu, nikiwa sijui ni kwanini ninasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo na kushindwa kwenda chooni kwa siku mbili au tatu mfululizo. Nilihisi tumbo langu limejaa, uzito kwenye mwili, na gesi ikiongezeka. Hali hii ilikuwa inanifanya niachwe nyuma na nishindwe hata kufanya mambo ya kawaida.

Nilenda hospitali, nikafanya vipimo na daktari akaniambia nilikuwa na tatizo la kukosa choo. Alikuwa sahihi! Ningemaliza hata siku 5 au 7 sijaeda chooni kutoa haja kubwa. Dokta alinipa dawa, hazikunisaidia. Nikarudi akanibadilishia, lakini bado hazikusaidia. Wakati huo niliambiwa ninywe maji mengi, lita 3 hadi 5 kwa siku na nile mboga za majani na matunda kwa wingi. Havikunisaidia sana…

Hatimaye, tatizo likaamua lijitokeze nje na nilianza kutokwa chunusi usoni na mgongoni. Zilipokauka nikabaki na sundo sundo na mabaka meusi. Kusema ukweli nilianza kujichukia mwenyewe.

Siku moja, nikiwa nimechoka kabisa na hali hii, nilikutana na rafiki yangu ambaye aliniambia jambo ambalo lilibadilisha kila kitu. “Jaribu Stage 6,” aliniambia, “Ni laxative ya asili na ina vilainishi ambavyo vitakusaidia kuondoa tatizo lako bila kuendelea kutumia hayo madawa yeneye kemikali kali.” Kwa kuwa nilikuwa nimejaribu kila aina ya dawa huko nyuma, lakini maumivu yalikuwa yanarudi kila mara. Sikuwa na matumaini sana, lakini siku hiyo, niliamua kujaribu.

Na hapa ndipo kila kitu kilibadilika.

Katika kutafuta suluhisho, nilitumia sana google search na watu wengi walikuwa wakipendekeza sana mitishamba kama Senna Leaf, Prune Powder, na Buckthorn Bark, lakini sikuwa naelewa wapi naweza kuyapata nchini Tanzania. Nilivyosoma lile kopo la stage 6 na kuona inao muunganiko wa majani hayo, nikajawa sana na imani. Usiku huo, nilimeza vidonge vya Stage 6, nikiwa na hofu moyoni. Nilifikiria, “Je, kweli hii itanisaidia?”

Siku mbili zilizofuata, nilishtuka! Nilihisi mwepesi, bila maumivu, na nilikuwa nimeenda chooni bila shida yoyote. Mwili wangu ulianza kujisikia kama uko sawa tena—hisia ya gesi ilipotea, na tumbo lilirejea hali yake ya kawaida. Kilichonishangaza zaidi ni kwamba, Stage 6 haikunipa maumivu ya ghafla au hisia za natumia dawa. Ni kama mwili wangu ulirudi kwenye njia yake ya asili.

Leo hii, kwa kutumia Stage 6, si tu kwamba naenda chooni kwa urahisi, lakini nimeanza kupata choo mara 3 kwa siku! Na kila mara ni laini, bila maumivu wakati wa kujisaidia.

Je, Unajua Kwamba Kukosa Choo Kunaweza Kusababisha Bawasiri? 🙄

Kama ulikuwa hujui, basi ngoja nikupeleke darasani kidogo…

Bawasiri ni ugonjwa unaosababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa. Ugonjwa huu unaweza kusababisha maumivu makali, kuwashwa, na hata kutokwa na damu wakati wa kujisaidia.

Moja ya sababu kuu za bawasiri ni kukosa choo. Unapokosa choo, kinyesi kinakuwa kigumu na unalazimika kujikaza wakati wa kujisaidia. Hali hii husababisha shinikizo kwenye mishipa ya damu kwenye njia ya haja kubwa, na hatimaye kusababisha bawasiri (Homrrhoids).

Inakadiriwa kuwa Watanzania milioni 1.4 wanaugua maradhi haya. Hii ina maana kwamba karibu kila mtu mzima kati ya wawili wenye umri wa miaka 50 au zaidi amewahi kukabiliwa na tatizo hili. Utafiti unaonyesha kwamba watu wengi wanaougua bawasiri hawajui, hasa wale walio katika hatua za mwanzo za ugonjwa. Hali hii inasababisha watu wengi kutotafuta matibabu mapema, na hivyo kuongeza hatari ya kupata madhara makubwa zaidi.

Ingawa takwimu sahihi ni ngumu kupatikana, ni wazi kwamba bawasiri ni tatizo linaloathiri idadi kubwa ya Watanzania. Hii inatokana na mtindo wa maisha, ikiwa ni pamoja na ulaji usiofaa, kutokufanya mazoezi, na unywaji wa pombe kupita kiasi.

Unachomokaje?

Usingoje ukae na tatizo la kuvimbiwa mpaka uone mauzauza!

Kuvimbiwa si kitu cha mzaha. Na ukikizembea, matokeo yake yanaweza kuwa makali zaidi… 🤯 Bawasili! Ndio, bawasili inaweza kukutembelea bila hodi, na mara inapoingia, ni ngumu kuiondoa. Unajiuliza kwa nini usichukue hatua mapema?

Hebu Fikiria Hii: Mwili wako unaposhindwa kutoa choo kwa wakati, unajiweka kwenye shinikizo kubwa. Mavitu yanajikaza, mishipa inavuta, na mara unasikia maumivu na damu wakati wa kutoa choo… 🙁🙁🙁 Unahisi kama umenasa kwenye mzunguko usioisha wa mateso.

Lakini bado hujachelewa. Stage 6 iko hapa kukusaidia kuondokana na hili tatizo KABLA halijawa kubwa!

Najua utakuwa unajiuliza... kwa nini Stage 6 na inafanyaje kazi?

Kwa nini Stage 6 ni bora zaidi kwa kukusaidia kuondokana na tatizo la kutopata choo?

Kwanini unahitaji kuanza kutumia Stage 6 leo?

My friend, ninaongea kwa kujiamini nikiwa na mamia ya sababu, lakini hapa nitakutajia baadhi…

Kwanza,  bawasili haikuchekei – mara mishipa ya damu inapoanza kuvimba, unajiweka kwenye hatari ya maumivu makali na hata upasuaji. Pili,  Kuvimbiwa kwa muda mrefu = Shida Kubwa – Unapokawia kutoa choo kwa muda mrefu, unaongeza presha kwenye eneo la chini, hali inayosababisha bawasili. Tatu,  Kuepuka Uchungu – Ukiwa na Stage 6, unaweza kulainisha utumbo wako mapema na kuzuia tatizo hili chungu la bawasili kabla halijawa kubwa. 

Usipuuze Dalili – Kuvimbiwa leo inaweza kuwa bawasili kesho. Kwa nini uteseke kwa kitu unachoweza kuzuia?

Stage 6 inakusaidia kurahisisha mchakato wa kutoa choo kikawaida na bila kusukuma kwa nguvu. Usilazimishe mwili wako kufanya kazi ngumu ya kutoa choo kwa nguvu. Badala yake, tumia hii tiba ya asili yenye nguvu – kabla hujaanza kuona dalili za bawasili!

Nikupe stori moja ambayo kila mtu anapaswa kuisikia kabla hajachelewa…

Ni kisa cha kweli kutoka kwa mtu niliyemuhudumia miezi 3 iliyopita, ambaye hapa nitampa jina la Juma. Ni simulizi aliyonipa juu ya kile alichokipitia kabla na baada ya kupatwa na tatizo la bawasili!

Juma alikuwa na maisha mazuri sana. Naam, alikuwa mkakamavu, mwenye afya, na hakuwa na shida yoyote kubwa kiafya. Ila kuna jambo moja alilopuuzia kila mara—alikuwa akisumbuliwa na kuvimbiwa mara kwa mara, lakini hakuwahi kuliona hili kama tatizo kubwa. Aliowashirikisha, walimwambia… unashida ya tumbo kujaa gesi. Ni jambo la kawaida. Mara nyingi, alifikiria “ah, kesho nitakuwa sawa.” Alipofunga mwaka mmoja mzima akiishi na hali hii, taratibu, mwili wake ulianza kumpa ishara. Mara akaanza kuhisi maumivu kidogo alipokuwa chooni, akakazana, akahisi kama kuna kitu kinavimba. Siku zilipopita, maumivu yaliongezeka, na damu ilianza kuonekana kwenye choo chake. Aliogopa sana.

Bawasili ilikuwa imeshaingia kwenye maisha yake.

Alijikuta kwenye hali ya mateso makali—alikuwa hawezi kukaa vizuri, hawezi kwenda chooni bila maumivu makali, na hofu ya kuishia kwenye chumba cha upasuaji ilianza kumuandama. Yote hii ilisababishwa na kitu kimoja tu: kupuuza kuvimbiwa. Na kweli, alifanyiwa upasuaji wa kukata nyama za haja kubwa. Baada ya muda, zikarudi tena! Pamoja na tiba nyinginezo, ameanza kutumia Stage 6 na anaendelea vema.

Unajua nini? Juma angeweza kuepuka yote haya kwa kuchukua hatua mapema. Kwa kutumia Stage 6, hali hii ya kuvimbiwa isingemfikisha kwenye bawasili, isingemuweka kwenye hatari ya upasuaji wala mateso ya kila siku. Hii dawa ya asili ingemsaidia kulainisha mfumo wake wa mmeng’enyo, kuondoa msongamano wa choo, na kuzuia hali ya shinikizo kubwa kwenye utumbo wake wa chini.

Nirudi kwako, wewe unayesoma ujumbe makala haya sasa…

Usikubali stori ya Juma iwe stori yako. Kumbuka, bawasili ni kama mwizi anayekuja taratibu; unapoikosa dalili za mwanzo, utashangaa jinsi ilivyoingia na kuharibu maisha yako.

Bawasili ni matokeo ya moja kwa moja ya kuvimbiwa na kukukosa choo kwa muda mrefu. Na kuvimbiwa ni tatizo linaloweza kuzuilika kabisa! Kwa kutumia Stage 6, una nafasi ya kulinda afya yako na kujikinga na hatari hii.

Usingoje mpaka pale utakapohisi maumivu ya kuachia damu. Usingoje mpaka pale utakapoogopa kukaa chini au kwenda chooni. Chukua hatua leo ili uwe na uhakika wa kesho isiyo na hofu ya bawasili!

Ijaribu Stage 6 ukiwa na dhamana ya siku 7—pamoja na zawadi za ziada zenye thamani ya Sh 80,000!

Ikiwa umekuwa na tatizo la kukosa choo mara kwa mara, basi sasa ni muda wa kupata suluhisho. Tunakupa fursa ya kujaribu Stage 6 ukiwa na hakika. Kama haitakupa matokeo unayotaka ndani ya siku 7, tutakurudishia pesa zako zote—bila maswali yoyote.

Lakini si hayo tu. Unapoagiza leo, utapata zawadi za kipekee:

E-Book ya Bure – “Mwongozo Kamili wa Afya ya Asili ya Mmengenyo” (Thamani ya Dola 49)

Jifunze jinsi ya kudumisha afya bora ya mmengenyo kwa mbinu za asili zinazojumuisha lishe bora, kunywa maji, na mabadiliko ya mtindo wa maisha.

Mpango wa Afya wa Ulaji kulingana na kundi lako la damu!

Pata mpango wa kibinafsi uliotengenezwa kwa ajili ya mahitaji yako maalum ya mmengenyo, ili kuhakikisha unapata faida kamili kutoka kwa Stage 6.

Ofa hii ipo kwa wateja 100 wa kwanza pekee! Pata punguzo la asilimia 30 na zawadi za bure sasa!

Ofa hii ni kwa watu wachache tu! Tunatoa dhamana (Guarantee) ya siku 7 ya kutumia Stage 6 na zawadi za kipekee kwa wateja 100 wa kwanza pekee! Mara nafasi hizi zikijaa, ofa hii itakoma.

Usikose nafasi hii—agiza sasa uondokane na tatizo la kukosa choo.

Hivi ndivyo Stage 6 ilivyowasaida baadhi ya watumiaji hawa kuondokana na tatizo la kutopata choo

Tumia Stage 6 leo na uepuke maumivu na usumbufu unaosababishwa na bawasiri.

77,000

Hii ni hatua yako ya kwanza. Jaribu moja na uone jinsi mwili wako unavyoweza kurejea kwenye hali yake ya kawaida kwa haraka.

177,000

Pata punguzo la TZS 60,000! Hii ni kwa wale wanaotaka kufungua mlango wa nafuu ya muda mrefu. Kwa kuchukua hatua kubwa leo, unapata punguzo kubwa na zawadi za ziada kusaidia safari yako ya afya bora.

138,000

Pata punguzo la TZS 20,000 na ujihakikishie mwendelezo wa matokeo bora. Hii ni kwa wale wanaojua kwamba afya nzuri inahitaji mabadiliko ya kudumu.

Bado hujaweka oda?

Agiza Stage 6 sasa—Okoa 30% ya bei na upate FREE Delivery ndani ya DSM!

Endapo utaweka oda sasa, utaweza kuokoa asilimia 30 kwenye oda yako ya kwanza la Stage 6 na pia utaletewa hadi mlangoni kwako bure kama uko Dar es Salaam. Fikiria kesho ukiamka ukiwa mwepesi, na afya bora, bila usumbufu wa tumbo.

Bonyeza hapa chini kudai punguzo lako na kupata zawadi zako kabla hazijaisha.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara Kuhusu Stage 6

Stage 6 inafanya kazi usiku. Meza vidonge 1-4 kabla ya kulala, na uamke ukiwa na nafuu ya haja asubuhi.

Stage 6 ni salama kwa matumizi ya mara kwa mara, lakini tunapendekeza kushauriana na daktari na mtaalamu wa life.

Tuna uhakika wa ubora wa bidhaa yetu. Usipopata nafuu unayotarajia, unaweza kurudisha bidhaa na utarudishiwa pesa zako kamili.

Chukua hatua muda huu uondokane na tatizo la kukosa choo

Huna sababu tena za kuendelea kupata maumivu ya kutopata choo! Agiza Stage 6 leo na uanze kuona matokeo ndani ya muda mfupi! Kwa dhamana yetu ya kurudishiwa fedha na punguzo la asilimia 30, hakuna muda bora wa kuchukua hatua juu ya afya yako kuliko sasa.

Lakini kumbuka, ofa hii ni kwa wateja 100 wa kwanza pekee! Usikose nafasi yako.

Skip to content